Kituo cha Ukaguzi wa Magari
Tunakagua zaidi ya makundi 20 ya vyombo vya moto kama magari, pikipiki n.k, kwa kutumia vifaa vya kisasa na wataalamu waliohitimu.
Kumbuka: Jaribio la kwanza la marudio ni bure ndani ya siku 14.
karibu tukuhudumie kwa kuhakiki usalama wa chombo chakoKwa Silva ni kituo cha ukaguzi wa magari kilichopo kizimbani,dole-Zanzibar kinachotoa huduma bora zaidi kwa wateja wake.
Tunatoa huduma za ukaguzi wa vyombo vya moto.
Lengo kuu :kuhakikisha usalama wa watumia barabara kwa kutoa huduma bora za ukaguzi na kufuata viwango vya kimataifa. Tunajivunia kuwapa wateja wetu uhakika na usalama wanapotembelea kituo chetu.
Tunaamini kuwa usalama barabarani huanzia na magari yaliyo na hali nzuri na kukaguliwa mara kwa mara. Hii ndiyo sababu tunatoa huduma bora zaidi kwa bei nafuu.
Maono yetu : kuwa kituo bora na kinachotegemewa zaidi nchini Tanzania katika huduma za ukaguzi wa magari, kikiongoza mabadiliko ya usalama barabarani na kuwa mtaalamu wa kwanza kwenye sekta hii.
Tazama jinsi tunavyofanya ukaguzi wa magari kwa kutumia vifaa vya kisasa na wataalamu wetu waliohitimu. Video hii inaonesha mchakato wetu wa ukaguzi wa magari.
Fahamu matangazo mapya, habari na taarifa muhimu kuhusu ukaguzi wa magari nchini Tanzania.
Tumeona kuwa watu wengi Zanzibar wanatoa huduma za "BROKERAGE", ambapo wanaahidi kuleta gari la mmiliki kwenye kituo cha ukaguzi. Tunataka kutaarifu umma kuwa, hii si tu hatari...
Soma zaidiRais wa Zanzibar na Mweyekiti wa baraza la mapinduzi, Mhe.Dkt. Ally Hassan Mwinyi, ametembelea kituo chetu cha ukaguzi wa magari, kuzindua...
Soma zaidiKituo chetu kimefanikiwa kuwa na vifaa vya kisasa vya ukaguzi wa magari kutoka nchini ujerumani (MAHA). Vifaa hivi vitasaidia...
Soma zaidiKituo chetu kimeandaa mafunzo maalum kwa wataalamu wa ukaguzi wa magari kwa kushirikiana na wawekezaji(MAHA ,DKT & Applus+). Mafunzo yanalenga...
Soma zaidiWawakilishi kutoka nchi mbalimbali walikutana kujifunza jinsi tunavyotekeleza ukaguzi wa magari na mbinu zilizofanikiwa ili kuzipa nchi zao.
Soma zaidiTazama gharama ya aina ya chombo chako. Kwa pamoja tutaimarisha usalama barabarani.
Tunatoa huduma za ukaguzi wa magari, pikipiki na malori kwa ufanisi, haraka na kwa kutumia vifaa vya kisasa. Wateja wetu wanaridhika kwa zaidi ya 98% kutokana na huduma bora, ushauri wa kitaalam na bei nafuu. Chagua Kwa Silva kwa usalama na uhakika wa chombo chako.
Piga simu kwa namba zifuatazo kwa usaidizi wa haraka au maswali yoyote:
+255 775 445 500
Wasiliana nasi kwa maswali, maoni au kujua zaidi kuhusu huduma zetu.